Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Wapinzani watoka nje baada ya Halima Mdee kusimamishwa

Wabunge wa upinzani wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe leo April 2, 2019 walilazimika kutoka nje ya ukumbi wa Bunge kwa madai ya kutokubaliana na kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge iliyopendekeza iliyopendekeza Bunge kumsimamisha Mbunge wa Kawe Halima Mdee kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge kuanzia leo kwa kitendo cha kulidharau Bunge kwa kuunga mkono kauli ya CAG kwamba Bunge ni dhaifu.

Yorum Gönder

0 Yorumlar